Yaya Sanogo amejiunga na klabu ya Al Ahly ya Libya akitokea Toulouse ya Ufaransa,amesaini mkataba wa mwaka mmoja.
Sanogo aliyezaliwa Ufaransa alicheza katika timu zote za vijana za Ufaransa,kabla ya kuichezea timu ya Taifa ya wakubwa ya Ivory coast. pic.twitter.com/uwdEUW7z5y

— soka (@soka_app) August 5, 2019